25 Usije ukajifunza njia zake;Na kujipatia nafsi yako mtego.
26 Usiwe mmoja wao wawekao rehani;Au walio wadhamini kwa deni za watu;
27 Kama huna kitu cha kulipa;Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?
28 Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani,Uliowekwa na baba zako.