Mit. 30:19 SUV

19 Mwendo wa tai katika hewa;Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba;Mwendo wa merikebu katikati ya bahari;Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.

Kusoma sura kamili Mit. 30

Mtazamo Mit. 30:19 katika mazingira