23 Hata mshale umchome maini;Kama ndege aendaye haraka mtegoni;Wala hajui ya kuwa ni hasara ya nafsi yake.
24 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa,Mkayaangalie maneno ya kinywa changu.
25 Moyo wako usizielekee njia zake,Wala usipotee katika mapito yake.
26 Maana amewaangusha wengi waliojeruhi,Naam, jumla ya waliouawa naye ni jeshi kubwa.