1 Hekima umeijenga nyumba yake,Amezichonga nguzo zake saba;
2 Amechinja nyama zake, umechanganya divai yake,Ameiandalia meza yake pia.
3 Amewatuma wajakazi wake, analia,Mahali pa mjini palipoinuka sana,
4 Kila aliye mjinga na aingie humu.Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili,