20 Nitatandaza wavu wangu juu yake, naye atanaswa katika mtego wangu; nitampeleka mpaka Babuloni na kumhukumu kwa sababu ya uhaini alioufanya dhidi yangu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 17
Mtazamo Ezekieli 17:20 katika mazingira