21 Majeshi yake hodari yatauawa kwa upanga na watakaosalia hai watatawanyika pande zote. Hapo mtatambua kuwa mimi, naam, mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Kusoma sura kamili Ezekieli 17
Mtazamo Ezekieli 17:21 katika mazingira