12 Wasibakize chakula chochote hadi asubuhi, wala wasivunje hata mfupa mmoja wa wanyama wa Pasaka. Wataiadhimisha sikukuu hii ya Pasaka kulingana na kanuni zake zote.
Kusoma sura kamili Hesabu 9
Mtazamo Hesabu 9:12 katika mazingira