Yeremia 1:13 BHN

13 Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili: “Unaona nini?” Nami nikasema, “Ninaona chungu kinatokota kimeinama upande wangu kutoka kaskazini.”

Kusoma sura kamili Yeremia 1

Mtazamo Yeremia 1:13 katika mazingira