Yeremia 1:17 BHN

17 Sasa basi, wewe Yeremia jiweke tayari. Haya! Nenda ukawaambie mambo yote ninayokuamuru. Usiwaogope, nisije nikakufanya mwoga mbele yao.

Kusoma sura kamili Yeremia 1

Mtazamo Yeremia 1:17 katika mazingira