25 Imwage hasira yako juu ya mataifa yasiyokuabudu,na juu ya watu ambao hawakutambui.Maana, wamewaua wazawa wa Yakobo;wamewaua na kuwaangamiza kabisa,na nchi yao wameiacha magofu.
Kusoma sura kamili Yeremia 10
Mtazamo Yeremia 10:25 katika mazingira