Yeremia 11:14 BHN

14 Basi, wewe Yeremia, usiwaombee watu hawa, usinililie kwa ajili yao, wala usiwaombee dua. Maana, hata wakiniomba wanapotaabika, mimi sitawasikiliza.”

Kusoma sura kamili Yeremia 11

Mtazamo Yeremia 11:14 katika mazingira