Yeremia 11:20 BHN

20 Lakini, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi,wewe unayehukumu kwa haki,unayepima mioyo na akili za watu,unijalie kuona ukiwalipiza kisasi,maana kwako nimekiweka kisa changu.

Kusoma sura kamili Yeremia 11

Mtazamo Yeremia 11:20 katika mazingira