Yeremia 11:8 BHN

8 Lakini wao hawakunitii, wala hawakunisikiliza. Badala yake, kila mmoja wao alizidi kuwa mkaidi na mwovu. Basi, niliwaadhibu kulingana na masharti ya agano hili nililowaamuru walishike, lakini hao wakakataa kulishika.”

Kusoma sura kamili Yeremia 11

Mtazamo Yeremia 11:8 katika mazingira