Yeremia 12:1 BHN

1 Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu,ingawa nakulalamikia.Lakini ningependa kutoa hoja zangu mbele yako:Kwa nini waovu hufanikiwa katika mambo yao?Mbona wote wenye hila hustawi?

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:1 katika mazingira