Yeremia 12:12 BHN

12 Juu ya milima yote jangwani,watu wamefika kuangamiza.Upanga wangu unapita kuiangamiza nchi,toka upande mmoja hadi mwingine,wala hakuna mtu atakayeishi kwa amani.

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:12 katika mazingira