Yeremia 12:14 BHN

14 Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya jirani wabaya wa watu wangu: “Wamekigusa kile kilicho changu, kile nilichowapa watu wangu Israeli! Basi nitawangoa kutoka katika nchi yao. Hata watu wa Yuda nitawangoa katika nchi yao.

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:14 katika mazingira