Yeremia 13:10 BHN

10 Watu hawa waovu wanakataa kusikia maneno yangu, na badala yake wanakuwa wakaidi na kufuata mawazo yao wenyewe. Wanaifuata miungu mingine, wanaitumikia na kuiabudu. Hao watakuwa kama kikoi hiki ambacho hakifai kitu.

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:10 katika mazingira