Yeremia 13:2 BHN

2 Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni.

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:2 katika mazingira