Yeremia 15:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu asema: “Nitaifanya mali yenu na hazina zenu zichukuliwe nyara tena bila kulipwa fidia yoyote kwa sababu ya dhambi zenu zote mlizotenda kila mahali nchini.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:13 katika mazingira