19 Ee Mwenyezi-Mungu!Wewe ndiwe nguvu yangu na ngome yangu;wewe ni kimbilio langu wakati wa taabu.Mataifa toka pande zote duniani yatakujia na kusema:“Wazee wetu hawakuwa na kitu ila miungu ya uongo,vitu duni visivyo na faida yoyote.
Kusoma sura kamili Yeremia 16
Mtazamo Yeremia 16:19 katika mazingira