Yeremia 16:4 BHN

4 Hao watakufa kwa maradhi mabaya, na hakuna atakayewaombolezea wala kuwazika. Maiti zao zitazagaa kama mavi juu ya ardhi. Wataangamia kwa upanga na kwa njaa; na maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wakali wa nchi.

Kusoma sura kamili Yeremia 16

Mtazamo Yeremia 16:4 katika mazingira