Yeremia 16:6 BHN

6 Wote, wakubwa kwa wadogo, watakufa katika nchi hii; nao hawatazikwa, wala hakuna atakayewaombolezea. Hakuna atakayejikatakata au kunyoa upara wa matanga.

Kusoma sura kamili Yeremia 16

Mtazamo Yeremia 16:6 katika mazingira