Yeremia 17:1 BHN

1 “Dhambi ya watu wa Yuda, imeandikwa kwa kalamu ya chuma; kwa ncha ya almasi imechorwa mioyoni mwao na katika pembe za madhabahu zao,

Kusoma sura kamili Yeremia 17

Mtazamo Yeremia 17:1 katika mazingira