10 Mimi Mwenyezi-Mungu hupima akilina kuchunguza mpaka ndani ya moyo wa mtu.Na hivyo humtendea kila mmoja,kulingana na mwenendo wake,kadiri ya matendo yake.”
Kusoma sura kamili Yeremia 17
Mtazamo Yeremia 17:10 katika mazingira