Yeremia 17:14 BHN

14 Uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nami nitapona;uniokoe, nami nitaokoka;maana, wewe ndiwe sifa yangu.

Kusoma sura kamili Yeremia 17

Mtazamo Yeremia 17:14 katika mazingira