Yeremia 17:22 BHN

22 Msibebe mzigo kutoka majumbani mwenu siku ya Sabato wala kufanya kazi. Iadhimisheni siku ya Sabato kama siku takatifu kama nilivyowaamuru wazee wenu.

Kusoma sura kamili Yeremia 17

Mtazamo Yeremia 17:22 katika mazingira