Yeremia 17:24 BHN

24 “Lakini mkinisikiliza mimi Mwenyezi-Mungu, mkaacha kuingiza mzigo wowote kupitia malango ya mji huu siku ya Sabato, wala kufanya kazi siku hiyo,

Kusoma sura kamili Yeremia 17

Mtazamo Yeremia 17:24 katika mazingira