5 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Alaaniwe mtu anayemtegemea binadamu,mtu ambaye anategemea nguvu za binadamu,mtu ambaye moyo wake umeniacha mimi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Yeremia 17
Mtazamo Yeremia 17:5 katika mazingira