Yeremia 18:6 BHN

6 “Enyi Waisraeli! Je, mimi Mwenyezi-Mungu siwezi kuwafanya nyinyi kama alivyofanya mfinyanzi huyu? Jueni kuwa kama ulivyo udongo mikononi mwa mfinyanzi, ndivyo nyinyi mlivyo mikononi mwangu.

Kusoma sura kamili Yeremia 18

Mtazamo Yeremia 18:6 katika mazingira