Yeremia 2:28 BHN

28 “Lakini iko wapi miungu yako uliyojifanyia?Iinuke basi, kama inaweza kukusaidia,wakati unapokuwa katika shida.Ee Yuda, idadi ya miungu yakoni sawa na idadi ya miji yako!

Kusoma sura kamili Yeremia 2

Mtazamo Yeremia 2:28 katika mazingira