Yeremia 20:18 BHN

18 Kwa nini nilitoka tumboni mwa mama yangu?Je, nilitoka ili nipate taabu na huzunina kuishi maisha ya aibu?

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:18 katika mazingira