Yeremia 22:2 BHN

2 Wewe mfalme wa Yuda unayekikalia kiti cha enzi cha mfalme Daudi, pamoja na watumishi wako na watu wako wanaopita katika malango haya, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:2 katika mazingira