25 Nitakutia mikononi mwa wale wanaotaka kuyamaliza maisha yako; naam, mikononi mwa wale unaowaogopa, mikononi mwa Nebukadneza, mfalme wa Babuloni; naam, mikononi mwa Wakaldayo.
Kusoma sura kamili Yeremia 22
Mtazamo Yeremia 22:25 katika mazingira