Yeremia 22:28 BHN

28 Je, huyu mtu Konia,amekuwa kama chungu kilichovunjika,ambacho hudharauliwa na kutupwa nje?Kwa nini yeye na watoto wake wametupwa mbaliwakatupwa katika nchi wasiyoijua?

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:28 katika mazingira