Yeremia 22:6 BHN

6 Mwenyezi-Mungu asema hivi kuhusu ikulu ya mfalme wa Yuda:“Ingawa waonekana kuwa mzuri kama nchi ya Gileadikama kilele cha Lebanoni,Lakini naapa kuwa nitakufanya uwe jangwa,uwe mji usiokaliwa na watu.

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:6 katika mazingira