Yeremia 23:28 BHN

28 Nabii aliyeota ndoto, na aitangaze ndoto yake, lakini yeye aliye na neno langu, na alitangaze kwa uaminifu. Mimi Mwenyezi-Mungu nasema, makapi si sawa na ngano!

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:28 katika mazingira