Yeremia 23:3 BHN

3 Kisha, nitawakusanya kondoo wangu waliobaki kutoka nchi zote nilikowatawanya, na kuwarudisha malishoni mwao. Nao watazaa na kuongezeka.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:3 katika mazingira