Yeremia 23:31 BHN

31 Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:31 katika mazingira