Yeremia 24:7 BHN

7 Nitawapa moyo wa kujua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao; maana watanirudia kwa moyo wao wote.

Kusoma sura kamili Yeremia 24

Mtazamo Yeremia 24:7 katika mazingira