16 Hapo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani na manabii: “Mtu huyu hastahili hukumu ya kifo, kwa kuwa amesema nasi kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.”
Kusoma sura kamili Yeremia 26
Mtazamo Yeremia 26:16 katika mazingira