Yeremia 26:5 BHN

5 na msipoyajali wanayosema watumishi wangu manabii ambao nimekuwa nikiwatuma kwenu kila mara, ingawa hamkuwajali,

Kusoma sura kamili Yeremia 26

Mtazamo Yeremia 26:5 katika mazingira