Yeremia 27:15 BHN

15 Mwenyezi-Mungu anasema: ‘Mimi sikuwatuma manabii hao, bali wanatabiri uongo kwa jina langu. Kwa hiyo nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia, pamoja na hao manabii wanaowatabirieni uongo.’”

Kusoma sura kamili Yeremia 27

Mtazamo Yeremia 27:15 katika mazingira