17 Msiwasikilize. Mtumikieni mfalme wa Babuloni, nanyi mtaishi. Ya nini mji huu ufanywe kuwa magofu?
Kusoma sura kamili Yeremia 27
Mtazamo Yeremia 27:17 katika mazingira