Yeremia 27:21 BHN

21 “Sikilizeni mambo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ninasema juu ya vile vyombo vilivyoachwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika nyumba ya mfalme wa Yuda na katika mji wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yeremia 27

Mtazamo Yeremia 27:21 katika mazingira