Yeremia 27:3 BHN

3 Kisha, peleka ujumbe kwa mfalme wa Edomu, mfalme wa Moabu, mfalme wa Amoni, mfalme wa Tiro na mfalme wa Sidoni, kupitia kwa wajumbe waliokuja Yerusalemu kumwona Sedekia mfalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yeremia 27

Mtazamo Yeremia 27:3 katika mazingira