Yeremia 28:6 BHN

6 “Na iwe hivyo! Mwenyezi-Mungu na afanye hivyo. Mwenyezi-Mungu na ayatimize maneno uliyotabiri, avirudishe hapa vyombo vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu kutoka Babuloni pamoja na watu wote waliohamishiwa huko.

Kusoma sura kamili Yeremia 28

Mtazamo Yeremia 28:6 katika mazingira