Yeremia 29:19 BHN

19 Nitafanya hivyo kwa sababu hamkusikiliza maneno yangu niliyowaambia kila mara kwa njia ya watumishi wangu, manabii, nanyi mkakataa kusikiliza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:19 katika mazingira