Yeremia 29:22 BHN

22 Kwa sababu jambo hilo litakalowapata, watu wote waliohamishiwa Babuloni kutoka Yerusalemu watatumia msemo huu wa kulaania: Mwenyezi-Mungu akufanye kama Sedekia na Ahabu, ambao mfalme wa Babuloni aliwachoma motoni.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:22 katika mazingira