Yeremia 29:26 BHN

26 ‘Mwenyezi-Mungu amekufanya wewe Sefania kuwa kuhani badala ya kuhani Yehoyada, uwe mkuu wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Ni wajibu wako kumtia gerezani na kumfunga minyororo mwendawazimu yeyote anayetabiri.

Kusoma sura kamili Yeremia 29

Mtazamo Yeremia 29:26 katika mazingira