28 Maana yeye alituma taarifa huko Babuloni kwamba uhamisho wenu utakuwa wa muda mrefu, na kusema mjenge nyumba, mkae; mlime mashamba, mpande mbegu na kula mazao yake!’”
Kusoma sura kamili Yeremia 29
Mtazamo Yeremia 29:28 katika mazingira